Friday, 26 April 2013

Tuingie weekend na unyenyekevu


Nimeamua kuwakaribisha kwenye tafakari wakati tukianza weekend hii. Ingawa sitatoa tafsiri ili kila mtu atafsiri kivyake, nawakaribisheni kwenye kujumuika pamoja. Sikiliza wimbo huu toka Busokololo Kabwe Zambia wakati ukitafakari. BOFYA hapa.

No comments: