Wednesday, 30 April 2014

Diwani anapomshauri rais kuacha kuvuta bangi


Samwel Aboko Onkwani diwani wa Kiogoro nchini Kenya ametoa mpya baada ya kuwashauri watu wa karibu ya rais Uhuru Kenyatta aache kuvuta bangi. Onkwani amefunguliwa mashitaka kwa kudhalilisha mamlaka na yuko nje kwa dhamana ya shilingi za Kenya 50,000.
Onkwani anadaiwa kutoa maneno hayo kwenye mkutano wa hadhara aliufanya Agosti  28, mwaka jana. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: