Wednesday, 30 April 2014

Tufunge Aprili kwa kuwaletea matanuzi ya mtoto wa imla wa nchi maskini

Mtoto wa dikteta wa Equatorial Guinea Teodorin Obiang Nguema akitanua jijini Paris bila kujali kuwa kuna wananchi wanaoishi chini ya dola kwa siku kwa nchi yenye kuzalisha mafuta kwa wingi ikiwa na idadi ndogo ya watu lakini maskini.

No comments: