Saturday, 5 April 2014

Hii imekaa vipi?

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! hapo sasa utazani hawana mifupa au nyoka vile. Kwa sasa naona kwangu siwezi:-D

NN Mhango said...

Da Yacinta ni suala la mazoezi. Ukifanya mazoezi unaweza bila shaka.

Jaribu said...

Na mazoezi yenyewe unatakiwa uanze mapema toka utotoni, ama sivyo utaishia Emergency Room.

NN Mhango said...

Jaribu umeniacha hoi. Mbona mimi nataka kuanza wakati huu ambapo naanza kuuchungulia uzee?

Jaribu said...

Usikate tamaa, lakini ni kutambua tu kuwa risk ni higher ikiwa mifupa ishakomaa.

NN Mhango said...

Jaribu natania. Kwanza huo muda nitaupata wapi ukiachia moyo wa kuchukua risk?
Shukrani kwa ushauri hata hivyo.

Yasinta Ngonyani said...

Ahhh... nimechelewa kidogo Jaribu kajibu yote, ni kweli sasa ni muda mbaya kuanza inabidi tangu unapoanza kutembea tu ...

NN Mhango said...

Da Yacinta bado hujachelewa. It is not the end of the world jaribu tu kama alivyosema Jaribu.