Tuesday, 22 April 2014

Kipanya na wajumbe wa Bunge la Katiba

2 comments:

Anonymous said...

Ondoa Posho na wanamipasho watapotea pia!

NN Mhango said...

Anon umenena. Kimsingi, kwa walio wengi kinachpiganiwa hapa si katiba bali mpasho. Hivi tapeli kama Kingunge, Makaidi na wengine kama hawa wanataka katiba au migogoro iongezeke ili wazidi kuzichanga bila kufikiri wala kufanya lolote zaidi ya kuweka makalio kwenye makochi mazuri ya mjengoni?