Sunday, 6 April 2014

Ubishololo na ujinga na unywanywa mwingine bwana!

 Hivi hapa alilyepiga kura kisheria ni nani? Kweli Bongo boondoggle kweli kweli!

9 comments:

Jaribu said...

Sheria wnajua hao? Ni kuropoka tu kuhusu utawala wa sheria.

NN Mhango said...

Jaribu usemayo ni kweli. Maana kwa haraka haraka naona aliyepiga kura hauruhusiwi kisheria na anayeruhusiwa anchelekea bila kujua kuwa kitendo cha kupiga kura ni kutumbukiza ile kura kwa mkono wa mhusika mwenyewe. Ana bahati kuwa kupiga kura si lazima. Ajabu anayefanya hivyo tunaambiwa ni mwanasheria mwenye masters katika sheria!

Yasinta Ngonyani said...

Hata kitambulisho hana na wala hakuulizwa..Kaaazi kwelikweli.

NN Mhango said...

Ndiyo Bongo yenu iliyonajisiwa na ujinga na ufisadi hiyo.

Anonymous said...

Hapa wapiga kura nao ni sehemu ya tatizo

Anonymous said...

Na tutunze ushahidi huu wa taswira siku itakapowadia utuweke wazi.

Anonymous said...

Jamani, nilipokuwa ngumbaro huko walinifunza kuwa "wajinga ndiyo waliwao".

Kwa kuangalia picha hii (U18) anapiga kura, inaniudhi kweli.

Hii inaashiria "ujinga" ndani ya Tanzania yetu sasa.

Ombi: Ninataka kuendelea kuwa mtanzania lakini si mjinga, nifanyeje? Au ni lazima kwa kila mtanzania kuwa mjinga ili aliwe?NN Mhango said...

Anon huna haja ya kuhofia ujinga sana ingawa ujinga ni kutoelewa. Si watanzania wote ni wajinga kiasi hicho ndiyo maana kuna upinzani hata kama hauna mshikamano. Hivyo kuna siku hawa wajinga wanaowala wajinga wenzao watanyolewa tena bila maji.

Jaribu said...

Ma ubaya wa ujinga unaotawala ni kwamba hauelewi kuwa ni ujinga. Hamna kitu cha kuchekesha kama mjinga anayejiona mjanja!