Saturday, 26 April 2014

Kigeugeu cha mbayuwayu

 Siongezi neno uamue mwenyewe. Anayemtukana Warioba eti anamtunuku! Makubwa haya! Sanaa kweli kweli!

Walimsaliti yeye na mumewe eti leo wanamkumbuka! Wanamtunuku, kumtumia au kumtukana mama huyu?

No comments: