Sunday, 13 April 2014

Breaking News bomu lalipuka Arusha na kujeruhi wengi!!!!!!!!!!!!!!!!


Habari zilizotufikia ni kwamba baa  maarufu ya  Arusha Night Park aka Matako imeshambuliwa na bomu.Chanzo chetu kinapasha, "Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kwenye bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........"

No comments: