Wednesday, 16 April 2014

Huu ni uchapakazi ua kutafuta sifa?

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akisimamia ujenzi wa darala la Mpiji
Kama waziri atasimamia ujenzi hao wenye kuhusika watafanya kazi gani? Je hizo kazi nyingine za kiutaliwa hasa kutoa maelezo zitafanywa lini na nani? Je huu ni uchapa kazi ua kutafuta umaarufu au mbinu za kizamani za uongozi?

7 comments:

Anonymous said...

Hiyo inaitwa ongeza idadi ya watu kazini, na siyo uwajibikaji!

Anonymous said...

Huyu ndio mchapa kazi anaonyesha mfano

Anonymous said...

Ahhhh Naona kina nani hino hawapo leo auu Mvua nyingi kina try.

Anonymous said...

Ahhhh Naona kina nani hino hawapo leo auu Mvua nyingi kina try.

Anonymous said...

ubabaishaji.com

ukiona nchi inaendeshwa kwa "mastukizi" hivi, fahamu kuna vitu vingi kwenye mfumo haviko pahala pake

Anonymous said...

bukoba hiyo yeye na profesa TIBAIJUKA kwa kutaka sifa

NN Mhango said...

Anon wote hapo juu mmesema vyema. Hatuwezi kuendesha nchi kwa mastukizi. Anayesema anaonyesha mfano nadhani mfano unaoonyesha si mzuri. Tunapaswa ku-overhaul kila kitu ndipo tuweze ku-function.