Hii ni nyumba ya Mzee Nelson Mandela rais wa kwanza wa Afrika Kusini iliyopo kijijini mwake Qunu Transkei. Mandela hana nyumba moja tu. Anayo nyumba nyingine kwenye eneo la watu matajiri la Houghton mjini J'burg. Hili ni fundisho kwa viongozi wezi kama Bingu wa Mutharika aliyeiba na kuwekeza kwenye hekalu kuwa uongozi uliotukuka hutuzwa na taifa kama inavyoonekana kwa Madiba.
Hii ni nyumba ya kwanza ya Madiba huko Soweto kabla ya kuanza harakati za ukombozi.
Hii ndiyo nyumba ya Houghton J'burg
No comments:
Post a Comment