The Chant of Savant

Sunday 20 May 2012

Nimetokea kuipenda Montreal

Montreal skyline
Ingawa kuna miji inayovutia sana wengi nchini Kanada, nimetokea kupenda mji wa Montreal. Najua wapo watakaoshangaa utapendaje mji ambao hauko kwenye chati ya miji inayovutia kama vile St John's (Mji wangu wa zamani), Guelph, Halifax na mingine mingi. Pamoja na kuipenda Montreal, ninapenda kanisa hili hapa chini lililoko Guelph Ontario.

Image Detail
NNakumbuka kanisa hili la St John's. Ni mojawapo ya vivutio vya mji huu wa kwanza Amerika ya Kaskazini.

6 comments:

Anonymous said...

Usthaadh karibu tena Montreal. Wenyeji tupo tele kama pishi la mchele.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Ustaadh nakaribia nikipata nafasi. Nahisi kama mwanafunzi wangu fulani maeneo ya Al Haramain kwa jina la M....ba... Mji wenu mzuri sana. Umenikumbusha mji wangu wa awali St John's kisiwani.

Yasinta Ngonyani said...

Tupo njiani kuja kukutembelea...

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Nawakaribisheni ila msije kwenye winter mtaichukia Kanata bure.

Anonymous said...

Swadakta staadh, nipi hapa. Ukiwa tayari basi karibu sana. Dada na wewe unakaribishwa pia.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Tuombeane dua shehe. Kila la heri