How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Tuesday, 1 May 2012

Mambo ya vyuma chakavu: Siku daraja lilipoibiwa!


Getty Images

Si utani wezi wameiba daraja huko Jamhuri ya Czech lenye uzito wa tani kumi. Ukata unapozidi watu huzidi kubuni mbinu za kujinasua ingawa wakati mwingine mbinu hizi hurudisha maendeleo ya wengi nyuma. Hakuna ubishi kuwa biashara ya vyuma chakavu itakuwa kuwa balaa la dunia kama mambo kama haya hayatadhibitiwa. Kama nchi ambazo kidogo zimeendelea hali ni hivi, huko kwenye nchi za kifisadi kama yetu mambo yakuwaje baadaye? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: