The Chant of Savant

Tuesday 22 May 2012

Unyama hadi kwa malaika!

Kwa mzazi yeyote picha hii inatisha. kusikitisha na kuchosha. Lakini ndiyo ukweli yanatokea hapa hapa duniani. Sijui tunaelekea wapi. Wakati wengine wanakesha wakiomba watoto, wengine wanawanyanyasa kama huyo hapo. 

1 comment:

Anonymous said...

Hivo usomi wote huo
hujaweza kugundua kuwa hiyo ni photo shop