How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Friday, 4 May 2012

Breaking news Charles Taylor afungwe miaka 80


Former Liberian President Charles Taylor looks down in the courtroom of the Special Court for Sierra Leone in The Hague


Habari zilizotufikia ni kwamba rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor aliyepatikana na hatia hivi karibuni anakabiliwa na kifungo cha  miaka 80 kama  majaji wataridhia ombi la upande wa mashitaka. Hukumu kamili ni Mei 16. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

2 comments:

Anonymous said...

ili iwe funzo kwa majuha waliobakia

Anonymous said...

Mahakama ya Mabepari na vitimba kwiri na vibaraka na waoza wengine