How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Tuesday, 8 May 2012

Rais anayeongoza kwa mifano na msafi

Senegalese President Macky Sall owns amongst others a 699-square-metre villa worth 533,000 euros and a 2,000-square-metre piece of land in Dakar's upmarket suburbs. Photo/AFP
Rais mpya wa Senegal Mecky Sall ametangaza mali zake ili kuuhakikishia umma uliomchagua kuwa hana mpango wa kuwaibiwa wala kuwatumia kujinufaisha yeye na familia yake kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kiafrika ambapo marais ni wezi wakubwa kama ilivyotokea baada ya kifo cha rais wa Malawi Bingu wa Mutharika. Kwa Tanzania tumesikia nyimbo ngonjera na mashairi mengi lakini rais wetu na mkewe na watoto wake wamegoma kutangaza mali zao. Sasa ni miaka saba tangu Jakaya Kikwete aingie madarakani. Haonyeshi dalili za kutangaza mali zake. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: