The Chant of Savant

Wednesday 16 May 2012

Hayawani walioahidiwa maisha bora kwa wote


Leo sina la kusema kuhusiana na ukondoo na umbwa. Nitasema nini iwapo nimeshasema mengi na hakuna anayenielewa na kama ananielewa anaishia kuugulia moyoni. Hao mbwa wanakufundisha nini? Je zamu ya hao mbwa kupata wanachokihitaji na kukitaka itafika lini wakati jamaa ndiyo anamaliza kutafuna minofu? Ila kumbuka. Mbwa ni hayawani tofauti na binadamu. Kila la heri katika kutafakari.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika hili leo ni bonge la tafakari...naendelea kutafakari na kila kheri kwa yeyote atakayepita hapa...

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Dada Yacinta,
Lazima tutafakari maana tusipofanya hivyo wajukuu zetu watakuja geuzwa mbwa na mafisi na itakuwa na aibu na laana kwetu.
Kila la heri na enjoy your summer.