How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Wednesday, 9 May 2012

Kumbe rais mpya wa Ufaransa ni "mhuni"

French Socialist Party (PS) President of the Correze Council General Assembly Francois Hollande (R) with his companion Valerie Trierweiler on April 21, 2012 in Tulle, southwestern France
Picha na   JEAN-PIERRE MULLER wa AFP. Rais mpya Hollande akiwa na kimada wake Valerie Trierweiler Aprili 21, 2012 kule  Tulle, kusini magharibi mwa Ufaransa.
  
Jamii nyingi hasa za kimagharibi zilizotawaliwa na imani za kikristo, kuwa na mke hasa kwa kiongozi wa nchi isipokuwa Vaticana ni jambo muhimu sana. Rais mpya wa Ufaransa Francois Hollande ameliweka taifa majaribuni-kwani anaishi na kimada. Tulizoea kumsema rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kupenda chagulaga. Sasa tunaye Hollande ambaye anaishi na kimada ambaye anapaswa awe first lady. Kabla ya hapo mtangulizi wake Nicolas Sarkozy alitia fora kwa kutaliki akiwa Ikulu. Kama vile haitoshi sasa Hollande anaingiza kimada Ikulu. Kweli wafaransa wana mambo tena kweli kweli. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: