The Chant of Savant

Saturday 5 May 2012

Hii picha inakukumbusha au kukufundisha nini?


Khalid Sheikh Mohammed, photographed at Guantanamo Bay in 2009

Watu wengine wamekuwa maarufu kwa uzuri na ubora wao hasa kuchangia kwenye mafanikio ya jamii. Tofauti wengine wamekuwa maarufu kwa uharibifu wao. Mwenye picha hiyo hapa anajulikana sana kutokana na mchango wake kwenye maangamizi. Je nini unajifunza toka kwenye picha hii? Amependeza au ni kituko? Je uzuri na ubaya ni nini? Kidevu kinapozidi kichwa!

No comments: