The Chant of Savant

Tuesday 8 May 2012

Gari ambalo magaidi watanunua kama njugu


Google's driverless car


Ingawa sayansi imeisogeza dunia mbele kuliko wakati wowote, uvumbuzi mwingine ni hatari kwa usalama wake. Hivi karibuni Google ilizindua gari linalojiendesha lenyewe. Ni hatua kubwa ingawa magaidi watanunua aina hii ya gari ili kufikisha mizigo yao. Wengi wameishabikia bila kuliangalia hili kwa undani. Je tutazuiaje gari hili kutumiwa na magaidi kulipua mabomu wao badala ya kutumia watu kama ilivyo sasa? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: