Tarehe 2 Mei duniani inatimiza mwaka mzima tangu kuuawa kwa kiongozi wa kundi la kigaidi
la Al Qaeda Osama bin Laden. Je dunia ni salama au mambo ni yale yale? Swali hili ni muhimu
hasa tunaposhuhudia magaidi na wauaji kama Boko Haram na Al Shabaab wakiendelea kuua watu wasio na hatia. Je dawa ya ugaidi ni kuwaua viongozi wa
mitandao ya kigaidi tu au dunia kushirikiana kuhakikisha hawana mazaliwa popote pale juu ya ardhi? Je umefika wakati wa kujadiliana na magaidi ili kusikiliza upande wao wa hoja au kuendelea kutumia misuli kupambana nao?
No comments:
Post a Comment