Saturday, 26 May 2012

Lugha wabunge watiana mgeu, ufisadi itakuwaje?  • Fight in Ukraine's parliament over language bill

Ngumi na hata kutoa na damu vilitokea kwenye bunge la Ukraine baada ya kuzuka mzozo juu ya matumizi ya lugha ya kirusi. Wabunge wa Ukraine wanaonekana kuwa na hasira hasa wanapoona maslahi ya taifa yakichezewa au kutaka kuhatarishwa. Je wangekuwa Tanzania siju ingekuwaje?

No comments: