The Chant of Savant

Friday 18 May 2012

Wafanyabiashara na wanasayansi wanapofunga ndoa afya matatani


Tuliambiwa kahawa inasababisha shinikizo la damu. Tulionywa kuwa inakosesha usingizi. Leo tunaambiwa kuwa inaweza kuwa sababu ya kuishi maisha marefu! Je kuna ukweli au ni matokeo ya ndoa baina ya wafanyabiashara na wanasayansi kutuchezea akili? Inawezekana leo tukaambiwa kuwa vyakula vya MacDonald ni safi kwa afya. Kesho tutaambiwa sigara zinarefusha maisha wala kuvuta hakusababishi kansa. Kwa habari zaidi kuhusiana na kahawa na maisha marefu BONYEZA hapa.

No comments: