The Chant of Savant

Sunday 13 May 2012

Watoto wa wakubwa na makampuni ya Simu!

Rahma Mwapachu Meneja masoko wa Aitel

  • Mwamvita Makamba  Meneja masoko wa Vodacom
Je haya makampuni yana ubia na wazazi wao au kuna namna? Si bure lazima tuzame na kutafuta jibu.  Je hii ndiyo siri ya wawekezaji kusamehewa kodi mara kwa mara bila kujali kuwa watu wetu ni maskini? Je hii ndiyo siri ya makampuni ya simu kuwalangua wateja huku wakitoa huduma mbovu bila kuguswa? Kunani jamani?

No comments: