Visa vya mama wa kitanzania kujifungulia majumbani, kwenye mageti ya hospitali hata chini ya miti vinazidi kupamba moto. Hivi karibuni, kwa mujibu wa vyombo vya habari, wanawake mkoani Rukwa wanajifungulia chini ya miti kutokana na ukosefu wa zahanati. Wenye kumbukumbu wanajiuliza: Haya ndiyo maisha bora tuliyoahidiwa miaka saba iliyopita? Je ahadi hii itatekelezwa lini iwapo wizi wa pesa ya umma, ufisadi, kulindana na madhambi mengine yanazidi kuhalalishwa? Kwa habari zaidi
BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment