Thursday, 31 May 2012

Hii kitu imekaaje?

Vintage ChinaVintage China
Wachina wanaendelea kuja kwa kasi ya ajabu karibu katika kila kitu. Taratibu ustaarabu wa kichina unarejea kwenye chati. Kwa wale waliokua wakati wa serikali ya kijamaa ya Mwl Julius Nyerere watakubuka zile sinema tulikuwa tukiletewa toka uchina zama zile. Kweli ya kale dhahabu.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kaaazi kwelikweli kutembea ukutani ila duh! hii ningependa kujaribu ila weweeee labda usingizini mmmhh nawaza tu kwa sauti!!

NN Mhango said...

Da Yacinta usithubutu hata kuwakia achia mbali kujaribu. Sitaki hata watoto watundu hasa wa kiume waone picha hii. Maana wanaweza kujaribu wakazua balaa.