Friday, 1 June 2012

Breaking News mtoto wa rais wa zamani Zambia akamatwa

Image Detail
Habari zilizotufikia ni kwamba mtoto wa rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda aitwaye Andrew (pichani)  kutokana na shutuma za ufisadi aliofanya chini ya utawala wa baba yake. Kwa mujibu wa taarifa toka Zambia ni kwamba kijana huyu alikuwa akiwa na maelfu ya dola na euro kwenye akaunti yake lakini alishindwa kutoa maelezo ya jinsi alivyoipata. Hili ni somo kwa wake, familia na watoto wa watawala wetu kuwa baada ya madaraka lolote laweza kutokea. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: