Sunday, 3 June 2012

JK fit ila bi Mkubwa, um!


Rais Jakaya Kikwete akifanya mazoezi huko Arusha hivi karibuni.Kwa alivyo fit inaonekana hata angukaanguka hovyo kama ilivyowahi kutokea wakati wa kampeni za 2010. Pia kama angemshauri na bi mkubwa wake kufanya mazoezi huenda ingekuwa vizuri kwa afya yake.

No comments: