Monday, 4 June 2012

Rais anapowaandikia barua wezi wa pesa ya umma!


President Salva Kiir, centre, arrives at the John Garang Mausoleum in Juba, Sudan April 27, 2012Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini ameingia kwenye vitabu vya historia kwa kuandika barua kwa watendaji wake kurejesha kiasi cha pesa kilichoibiwa serikalini kinachokadiriwa kufikia $ 4,000,000,000. Kiir amesema wahusika warejeshe pesa hiyo haraka kuepusha kutesa wananchi wasio na hatia. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: