Sunday, 3 June 2012

Breaking news ndege yaangukia jengo LagosNdege ya shirika la ndege la Dana Air imeanguka kwenye jengo la ghorofa mbili jijini Lagos. Hii ndege ya pili kuanguka ndani ya siku moja. Ndege nyingine ya mizigo ilianguka mjini Accra Ghana na kuua watu kumi waliokuwa kwenye basi ililogonga. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: