Sunday, 3 June 2012

Uamsho na Kikwete jino kwa jinoBaada ya kimya kirefu, hatimaye rais Jakaya Kikwete ameamua kuongelea vurugu za Zanzibar za hivi karibuni ambapo Kanisa la Tanzania Assembly of God (TAG)  mtaa wa Kariakoo lilichomwa. Watuhumiwa wa kubwa wa tukio hili ni kikundi cha Jumuia ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) ambao hata hivyo walikanusha kuhusika. Rais Kikwete amekaririwa akisema kuwa ingawa serikali isingependa kutumia nguvu dhidi ya watu wake, ikibidi itafanya hivyo. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: