Tuesday, 5 June 2012

Nani kasema waafrika si wavumbuzi?

(L-R) Alvin Kabwama, Nigel Kinyera and David Tusubira, who are in their Senior Six vacation, display the robot that can detect and disarm explosive material at Makerere University yesterday. Kushoto kuelekea kulia ni Alvin Kabwama, Nigel Kinyera na David Tusubira,  wakionyesha roboti waliyoivubuni ambayo inaweza kugundua na kutegeua mabomu. Badala ya kuwawezesha wanasiasa kwanini tusiwawezeshe wavumbuzi wetu badala ya kupoteza pesa kwenda kununua vitu Ulaya? Najua wazo hili la kuwawezesha linachukiwa na wanasiasa wanaofaidika na kamisheni ya kununua kila upuuzi. Rejea wezi wakubwa walivyotumia kununua rada na dege bovu la rais kuliibia taifa mabilioni. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: