Sunday, 3 June 2012

Masupa staa wa kiswahili, matanuzi na kufilisika

Jumba la Evander Holyfield lenye jumla ya vyumba 109, mabafu 17, limejengwa kwenye eneo lenye ukubwa wa heka 104. Hata hivyo Holyfield amefilisika kutokana na kupaswa kulipa Dola 500,000 kwa mwaka kutunza watoto wake 11.

No comments: