Saturday, 23 June 2012

Aliishi bila pesa kwa miaka 16


Mtindo wa kuishi bila kutegemea pesa unaanza kuzoeleka. Huyo bi mkubwa, Daniel Suelo, 50 hapo juu ameishi bila kutumia kashi kwa miaka 16. Wakati wengi wachinjana kutafuta kashi kuna watu wanaiikimbia. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: