Saturday, 23 June 2012

Je Yesu alikuwa mwana haramu?


Jesus image (ThinkStock)

Paul Verhoeven Finds Backing And A Writer For Controversial Jesus Christ Movie
Filamu ambayo iko mbioni kutolewa hivi karibuni inajenga shaka juu ya kuzaliwa kwa Yesu bila tendo la ndoa. Filamu hii ya maisha ya Yesu inayosimamiwa na Paul Verhoeven. Filamu nyingi zilishatolewa juu ya maisha ya Yesu. Filamu hii itakuwa tofauti nazo kutokana na kusema kuwa Yesu alizaliwa baada ya mama yake kubakwa na askari wa Kiroma. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

5 comments:

Anonymous said...

Kaka yetu Nkwazi Mhango
wewe unafuata kitabu gani katika hivi:
Injili,taurati Zaburi Quran.
kipi katika hivi unakifuata

NN Mhango said...

Sifuati chochote zaidi kuviona kama matunda ya ukoloni wa kimagharibi na kiarabu. It is a common sense to know that doing right is right. If anything, this is my religion.

Anonymous said...

kwa kiswahili tunawaita WAPAGANI
watu wasokuwa na dini kama wewe

NN Mhango said...

Hata nasi tunawaita nyinyi WAPAGANI mlio na dini ambazo si za asili. Sisi ni wapagani kwenu nanyi ni wapagani kwetu. Hata hivyo kama mmetumia neno pagan la kiingereza ni makosa maana kwa mtu msomi kama mimi kuitwa a pagan ni kutumia vibaya neno husika.

Anonymous said...

Inakuwaje :
nasi tunawaita nyinyi WAPAGANI
lakini:
kwa mtu msomi kama mimi kuitwa a pagan ni kutumia vibaya neno husika.
wewe huna dini pagan