Friday, 8 June 2012

Nimeikumbuka Machu Pichu


  • Machu Picchu Machu Picchu early morning.JPG
  • Mojawapo ya maajabu ya dunia ni hiyo hapo juu. Vilele hivi vinapatikana nchini Peru Amerika ya Kusini. Ni vya kuvutia sana na vimetangazwa na UNESCO kuwa urathi wa dunia. Watalii wengi hufurika Machu Pichu kwenda kujionea maajabu haya ya maumbile. 

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kwa hili, ngoja nijipange nami nikashangae shangae.