Wednesday, 6 June 2012

Mtunza pesa wa papa anapokwapua

AFP PHOTO/ Tiziana Fabi / FILE  Head of the Vatican bank Ettore Gotti Tedeschi, who was forced to resign from his post on May 24, 2012 "for failing to carry out duties of primary importance," the Holy See said in a statement. Polisi nchini Italia wamevamia nyumba ya aliyekuwa gavana wa Benki kuu ya Vatikani Ettore Gotti Tedeschi kwa madai ya ufisadi na ubadhirifu wa pesa ya kanisa. Benki hii imekuwa na mivutano tangu zamani hadi kufikia hata kuhusishwa na wauzaji wa madawa ya kulevya kama akina , Rebelto Calvi,Micele Sindona na wengine wengi walishirikiana na majambazi kama aliyekuwa waziri wa fedha wa Vatikani Paul Markincus ambaye waziri wa fedha wa Vatikani anayedhaniwa kusababisha kifo cha Papa Paulo I. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: