Bunge la Sudan Kusini limeidhinisha kusimamishwa kazi kwa maafisa 75 wa serikali wanaoshutumiwa kuliibia taifa zaidi ya Dola za kimarekani 4,000,000,000. Hivi karibuni rais wa nchi hiyo Salva Kiir Mayardit alitoa ombi kwa watuhumiwa kurejesha pesa hii. Mpaka sasa dola 60,000,000 zimeisharejeshwa. Tanzania ambayo inasemekana kupoteza zaidi ya dola 2,000,000,000 kwa mwaka inapaswa kujifunza toka Sudan ya Kusini ukiachia mbali kuruhusu wezi wa kawaida kuendelea kukaa bungeni. Kwa habari zaidi
BONYEZA hapa.
No comments:
Post a Comment