Friday, 22 June 2012

Vifo vya watu 17 vyamfurusha Lugo urais


Paraguay"s former President Fernando Lugo addresses the nation after the Senate voted to remove him from office
Rais wa Uruguay  Fernando Lugo ameachia ngazi baada ya seneti kutishia kuanza taratibu za kupiga kura ya kumng'oa. Kuepuka kuaibika Lugo ameamua kuachia ngazi na makamu wake wa rais Federico Franco ameapishwa kuchukua nafasi yake. Hii ni kutokana na jinsi alivyoshughulikia vifo vya watu 17 vilivyotokea wakati wa  wakulima na polisi. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: