Sunday, 17 June 2012

Je watoto wetu wanavutishwa bangi kinamna?


Mother giving son a bath / Creatas

Taarifa za hivi karibuni kuwa kuna baadhi ya vichanga vimegundulika kuwa na chembe chembe za bangi kwenye mkojo wao zinasikitisha licha ya kustua. Kwa mjibu wa taarifa hizi ni kwamba kuna baadhi ya sabuni zikitumiwa kuwaoshea watoto baada ya kuzaliwa husababisha kuonekana na dalili hizi za bangi. Je watoto wetu wanalishwa bangi kinamna bila sisi kujua, ili iweje? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: