Thursday, 14 June 2012

Aacha kwenda chuo badala yake achagua shamba!


Image via YouTube

Yoonseo Kang pichani ni kijana ambaye amewashangaza wengi baada ya kukataa kwenda kusoma chuo kikuu. Hii ni baada ya kupewa ofa ya dola 100,000. Kitendo hiki kimewashangaza wengi ingawa kwa mtu anayetoka kwenye nchi kama China au ulimwengu wa tatu, hii si pesa ya kuacha. Kwa vile bado yu mdogo anaweza kusoma wakati wowote lakini hii ofa haiwezi kuwapo wakati wowote. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: