Monday, 4 June 2012

Mutunga apania kubadili mahakama Kenya

Chief Justice Willy Mutunga after unveiling the ‘Wanjiku’ statue during the launch of the Judiciary Transformation Framework in Nairobi last week. Photo/JAYNE NGARI
Hakuna shaka kuwa uchaguzi wa Dk. Willy Mutunga (pichani)  kuwa jaji mkuu wa Kenya ni hatua ya ukombozi. Dk. Mutunga amekuwa nguvu ya kweli ya mageuzi katika mahakama. Ameleta mageuzi ya hali ya juu kiasi cha kufanya wale waliozoea business as usual kupata tumbo joto. Hapo juu anaonekana akizindua sanamu la Wanjiku au kapuku. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: