How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Thursday, 7 June 2012
Je AU itakubaliana na ombi la Sudan?
Taarifa zilizopo ni kwamba serikali Sudan inataka mkutano wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) usifanyike nchini Malawi kama ilivyokuwa imepangwa. Hii ni kutokana na rais wa Malawi Bi. Joyce Banda kusema wazi kuwa rais wa Sudan, Omar Bashir anayetakiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) asikanyage Malawi. Wengi walitafsiri hii kama kumuonya Bashir kuwa akitia mguu Malawi atakamatwa na kukabidhiwa kwa ICC. Kutokana na hali hii Sudan inataka mkutano huu uahamishiwe kwingine. Je AU itauingia huu mtego au itasimamia uhuru wake? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment