Kundi la kigaidi la Al-Shabaab limeanza kuishiwa hata uwezo wa kufikiri. Baada ya Marekani kutoa pesa kwa atakayefichua walipo viongozi wa kundi hili, eti nao wamejibu kwa kusema eti atakayefichua maficho ya rais wa Marekani, Barack Obama, atapewa ngamia 10 wakati wakijua fika anakoishi!Kama hawajui ni kwamba anaishi White House. Hivyo basi nawashauri Al Shabaab wanipe zawadi angu. Kuongeza chumvi na dharau wamesema eti atakayefichua maficho ya Hilary Clinton atapewa kuku 20. Je huku ni kuishiwa kiakili au kutafuta umaarufu? Kwa habari zaidi
BONYEZA hapa.
1 comment:
Hata mimi nisokuwa na Phd nimeelewa kuwa Al shababab wamejibu hivo kwa vile hawakulitilia manani ni upuzi mtupu
Post a Comment