Tuesday, 12 June 2012

Iceland bado wamo pamoja na mtikisiko wa uchumi


Iceland (Canadian Press)

Nchi ya Iceland iliwahi kusifika kuwa na uchumi uliokuwa ukikua kwa kasi ya ajabu. Hii ni kabla ya siri ya 'kukua' kuibuka kuwa ilikuwa ni kukopa kupita kiasi jambo ambalo lilisababisha uchumi wa Icelanda kuporomoka ghafla. Pamoja na hayo, Iceland bado ni moja kati ya nne bora ya nchi zenye amani duniani. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: