Sunday, 10 June 2012

Pumzika mahali pema peponi Saitoti


George Saitoti (file picture)

Kwa tuliobahatika kukujua au kukusikia tunajua ulikuwa mtu wa aina gani. Tunakuombea msamaha kwa Mungu na kuomba aipumzishe roho yako mahali pema peponi Amina.

No comments: