Thursday, 7 June 2012

Harambee au rushwa kwa jamii toka kwa mafisadi?

Waaziri mkuu aliyetumka kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa akimshika mkono mwakilishi wa kampuni ya Home Shopping Centre, Madiha al Harthy baada ya kutoa mchango wa shilingi 22,000,000. Kinachogomba si kutoa au kutotoa. Je wahusika wanalipa kodi vilivyo? Je kwanini akina Lowassa hawataki kuacha mambo yanayotuhujumu kama kupokea malipo ya ustaafu wakati hakustaafu? Kwanini tumeligeuza taifa letu kuwa la harambee?

No comments: