Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Wednesday, 27 June 2012

Kumteka na kumtesa Ulimboka kuimarishe mgomo






Habari zlizotufikia ni kwamba mwenyekiti wa  Jumuia ya  Madaktari Dk Steven Ulimboka alitekwa na watu wa serikali na kumpeleka sehemu isiyojulikana ambako walimdhalilisha, kumtesa hata kujaribu kumuua. Ulimboka alikutwa na yote hayo kutokana na kusimamia haki za madaktari. Je kama serikali inatumia uhuni kama huu wahuni wa mitaani wafanye nini? Je kumuua Ulimboka ndilo jibu la migomo ya madaktari? Je huu si ugaidi unaotendwa na watu wanaopaswa kuuzuia? Tunalaamini uhuni na unyama huu unaofanywa na watu wanaokula la kulala kwa pesa ya umma na walioko kwenye ofisi za umma. Kwa tabia zilizoonyeshwa na serikali madaktari hawana haja kuiamini tena. Kadhalika madaktari waache tabia ya kuwaamini wanasiasa maana hawaaminiki na hawana maana. Ni juzi tu Ulimboka alipiga picha na rais Jakaya Kikwete alipoitwa pamoja na wenzake. Bahati mbaya madaktari walimchukulia serious Kikwete wasijue nyuma ya pazia Kikwete waliyekuwa wakicheka naye kulikuwa na yule ambaye yuko tayari kutuma watu wawatoe roho.
Posted by Ndugu Nkwazi N Mhango at 05:04

6 comments:

Anonymous said...

hao sio madaktari ni wahuni wenye shahada za kuiba kweli hivi sasa tuimarishe mgoma ili na yeye apate kujuwa kuwa walalahoi wanateseka na yeye yupo leaders club anakula bata.

walalahoi wanaoteseka mahospitalini wanaomtegemea yeye na wauaji wenzie je si ni wakuhurumiwa pia?

27 June 2012 at 08:48
Anonymous said...

hao walomteka kutoka leaders club
wangelimkata shikio moja ili iwe funzo kwa madaktari uchwara kama yeye

Mtu kama huyu ni shetani kabisa, tafakri angekuwa ni rais wa nchi, kwa wale mnaotaka madikteta huyu angefit. Huwezikuwa na akili timamu utese wanadamu wenzio kwa taaluma yako inayogusa 1 kwa 1 afya na maisha yao halafu ukale bata bar. Ana ganzi ya moyo au ni vp? Yaani nna hasira!! angegoma basi akajifungia ndani mwake, kaenda kustarehe!! Basi kumbe pesa za kustarehe anazo, ina maana ana ziada, yaani nitatukana bure ya nguoni.
na wewe unaitisha mgomo?

27 June 2012 at 08:53
Anonymous said...

well said na alipofikishwa hosp huo mgomo anaouimba ulitakiwa uanzie kwake nae asikie hali waliyo nayo wagonjwa. Angeachwa alale sakafuni bila huduma

27 June 2012 at 09:04
Anonymous said...

Ningekuwa na uwezo ningeenda kusimama nje ya mlango wa ICU kuzuia daktari yoyote asiingie kumtibu na waendelee na mgomo wao ili na yeye ndugu zake wajisikie hopeless kama anavyotufanya sie makapuku tujisikie!!

27 June 2012 at 09:14
Anonymous said...

Anon nyote hapo juu kama ni tofauti mmeongea utumbo. Nina wasi wasi haya ni mawazo ya mtu mmoja kibaraka wa CCM ambaye ananenepa kwa makombo ya akina Kikwete. Kugoma ni haki ya mtu ila kuzembea si haki. Kwanini muangalie maisha ya watu kupitia mgomo wa madaktari lakini mnashindwa kuuona upande wa pili. Ama kweli Tanzania ina miaka mingi kusonga mbele kutokana na kujaa wasaliti kama Anno wote hapo juu.

27 June 2012 at 10:06
Anonymous said...

Kwani hapa hakuna maoni mbadala
lazima watu wote wa ku support wewe
na wewe ushaanza kula makombo ya chadema?
na wewe kwanini unashidwa kuangalia upande wa pili

well said na alipofikishwa hosp huo mgomo anaouimba ulitakiwa uanzie kwake nae asikie hali waliyo nayo wagonjwa. Angeachwa alale sakafuni bila huduma

28 June 2012 at 09:36

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Cordially and unlimitedly welcome to this blog.


Writing and reading are two different processes but which share the same goal-to educate, communicate and entertain.
It is my pleasure to have you as the guest of this tablet.
I, thus, warmly and always, welcome you to share ideas.
Importantly and eminently, shall there be anything amiss or you think can advance this blog, please donate it.
Allow me to humbly and kindly welcome you once again.
Nkwazi N Mhango- A Man And a Half

When wisdom brings no profit, to be wise is to suffer. Not all thoughts are good and constructive. Others are even worse than bullets. The good thinkers are the ones that think constructively for the manumission of all bin-Adams regardless their diversity. Mwl. Nkwazi N Mhango,
Canada.


Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

I Love My Country Tanzania

I Love My Country Tanzania

The Curse of Salvation

The Curse of Salvation

Gen Z and Internet Revolution

Gen Z and Internet Revolution

I Cry for Ambazonia and Darfur

I Cry for Ambazonia and Darfur

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

The Story of Stories

The Story of Stories

The Chant of Savant

The Chant of Savant

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

Epistle to Afrophobic South Africa

Epistle to Afrophobic South Africa

Magufulification

Magufulification

BORN NUDE

BORN NUDE

Total Pageviews

Heko Rais Magufuli

Heko Rais Magufuli

DECOLONISING EDUCATION

DECOLONISING EDUCATION

Kudos President Magufuli

Kudos President Magufuli

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

The Family Friend of Animals

The Family Friend of Animals
Children's Book

Matembezi Mbuga ya Wanyama

Matembezi Mbuga ya Wanyama
Kitabu cha Watoto

Our Heritage

Our Heritage
Children's Book

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

Perpetual Search

Perpetual Search

Africa's Best and Worst Presidents

Africa's Best and Worst Presidents

Psalm of the Oppressed

Psalm of the Oppressed
Psalm of the Oppressed

AFRICA REUNITE or PERISH

AFRICA REUNITE or PERISH
A new approach towards empowering Africa

BORN WITH VOICE

BORN WITH VOICE

Soul on Sale

Soul on Sale

Soul on Sale

Nyuma ya Pazia

Nyuma ya Pazia

We are one

We are one

SAA YA UKOMBOZI

SAA YA UKOMBOZI

Feel at home

You are always welcome to this epistle again and again time after time, ad infinitum.


Most read Posts

  • Sarkozy’s Take on African Fat Cats a Welcome Move
    At last the chicken are coming home to roost! French authorities made a groundbreaking decision by culling three most corrupt African presid...
  • Napanga kuanza kuuza mitumba na si maneno
    Ingawa mimi si mtumba, napanga kuuza mitumba. Nimechoshwa na jamii ya mitumba. Kila kitu mitumba. Mitumba, mitumba mitupu. Siasa za mitumba...
  • Better or Bitter Life for all?
    When I deeply muse on how an arrogant and brutal cabal of hoity toity (Coverted Con Men (CCM)) is tirelessly hoodwinking and dividing the ho...
  • Africa's Becoming more Despotic and Nepotistic
    "King of Kings" Gaddaffi The seven-day 40th anniversary of Libya strongman’s autocratic rule and charade elections in Gabon where...
  • Kuna siku tutataifisha haya mahekalu haki ya nani
    Taarifa kuwa waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige alinunua nyumba kwa zaidi ya shilingi bilioni moja licha ya kuwastua wananchi na...
  • Nyangumi mdogo akutwa amekufa ufukweni BC
    Hii ni picha iliyotolewa ya Nyangumi aina ya Humpback ambaye alikumbwa na maji na kutupwa kwenye ufukwe wa bahari ya Pasifiki kwenye eneo l...
  • Kikwete, Charity Begins at Home!
    President Jakaya Kikwete Pea...
  • Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?
    Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao  ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia...
  • Pinda kulia hakutoshi, awajibike
    INGAWA kilio cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda, kinaonekana kuyeyusha hasira za Watanzania kwa muda, kuna haja ya kudodosa zaidi....
  • Hawa si wachungaji bali ni fisi na mbwa mwitu
    KUMEZUKA mtindo mchafu na wa rejareja wa baadhi ya wachumia tumbo na matapeli kumtania hata kumtumia Mwenyezi Mungu kufanya utapeli na ujamb...

Followers

Blog Archive

  • ►  2025 (84)
    • ►  December (1)
    • ►  November (11)
    • ►  October (9)
    • ►  September (7)
    • ►  August (12)
    • ►  July (8)
    • ►  June (7)
    • ►  May (5)
    • ►  April (4)
    • ►  March (6)
    • ►  February (8)
    • ►  January (6)
  • ►  2024 (92)
    • ►  December (7)
    • ►  November (4)
    • ►  October (11)
    • ►  September (9)
    • ►  August (7)
    • ►  July (9)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (7)
    • ►  March (6)
    • ►  February (7)
    • ►  January (8)
  • ►  2023 (118)
    • ►  December (10)
    • ►  November (10)
    • ►  October (9)
    • ►  September (2)
    • ►  August (4)
    • ►  July (6)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (18)
    • ►  March (13)
    • ►  February (9)
    • ►  January (20)
  • ►  2022 (208)
    • ►  December (14)
    • ►  November (14)
    • ►  October (20)
    • ►  September (20)
    • ►  August (12)
    • ►  July (25)
    • ►  June (22)
    • ►  May (18)
    • ►  April (13)
    • ►  March (18)
    • ►  February (18)
    • ►  January (14)
  • ►  2021 (323)
    • ►  December (23)
    • ►  November (34)
    • ►  October (26)
    • ►  September (13)
    • ►  August (19)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (25)
    • ►  April (23)
    • ►  March (43)
    • ►  February (29)
    • ►  January (38)
  • ►  2020 (290)
    • ►  December (33)
    • ►  November (37)
    • ►  October (28)
    • ►  September (35)
    • ►  August (31)
    • ►  July (26)
    • ►  June (17)
    • ►  May (21)
    • ►  April (18)
    • ►  March (15)
    • ►  February (17)
    • ►  January (12)
  • ►  2019 (160)
    • ►  December (8)
    • ►  November (7)
    • ►  October (12)
    • ►  September (9)
    • ►  August (27)
    • ►  July (18)
    • ►  June (18)
    • ►  May (11)
    • ►  April (11)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (14)
  • ►  2018 (162)
    • ►  December (12)
    • ►  November (6)
    • ►  October (13)
    • ►  September (10)
    • ►  August (20)
    • ►  July (9)
    • ►  June (14)
    • ►  May (9)
    • ►  April (16)
    • ►  March (21)
    • ►  February (17)
    • ►  January (15)
  • ►  2017 (306)
    • ►  December (20)
    • ►  November (23)
    • ►  October (20)
    • ►  September (26)
    • ►  August (31)
    • ►  July (31)
    • ►  June (34)
    • ►  May (26)
    • ►  April (24)
    • ►  March (20)
    • ►  February (28)
    • ►  January (23)
  • ►  2016 (269)
    • ►  December (22)
    • ►  November (21)
    • ►  October (22)
    • ►  September (15)
    • ►  August (12)
    • ►  July (27)
    • ►  June (24)
    • ►  May (23)
    • ►  April (29)
    • ►  March (26)
    • ►  February (27)
    • ►  January (21)
  • ►  2015 (399)
    • ►  December (34)
    • ►  November (24)
    • ►  October (22)
    • ►  September (34)
    • ►  August (29)
    • ►  July (37)
    • ►  June (22)
    • ►  May (32)
    • ►  April (35)
    • ►  March (46)
    • ►  February (47)
    • ►  January (37)
  • ►  2014 (502)
    • ►  December (47)
    • ►  November (49)
    • ►  October (47)
    • ►  September (37)
    • ►  August (40)
    • ►  July (42)
    • ►  June (30)
    • ►  May (35)
    • ►  April (47)
    • ►  March (44)
    • ►  February (39)
    • ►  January (45)
  • ►  2013 (399)
    • ►  December (37)
    • ►  November (27)
    • ►  October (31)
    • ►  September (26)
    • ►  August (33)
    • ►  July (39)
    • ►  June (28)
    • ►  May (40)
    • ►  April (44)
    • ►  March (39)
    • ►  February (26)
    • ►  January (29)
  • ▼  2012 (597)
    • ►  December (27)
    • ►  November (26)
    • ►  October (27)
    • ►  September (30)
    • ►  August (47)
    • ►  July (94)
    • ▼  June (86)
      • Hatimaye mapinduzi ya Misri yakamilika!
      • Huu wimbo wawezaamsha watanzania usikilize japo mw...
      • Hivi kweli Jakaya ni mzima?
      • Hivi Kikwete huwa anaangalia picha kama hizi?
      • Wabunge wadai Saitoti na Ojode waliuawa na wauza unga
      • Urafiki wa mashaka Pinda, Kikwete na Ulimboka
      • Hii ndiyo hasara ya kuchagua waganga wa kienyeji n...
      • Madaktari sikilizeni wimbo huu, wanasiasa kama wah...
      • Je wayajua mashairi haya?
      • Nani alijua kuwa haya mawingu yanaitwa 'mammatus'?
      • Wakubwa wana vituko is it an open cheque?
      • Kumbe wadhauliwa machizi!
      • Kikwete si dhaifu tu, ni dhaifu sana
      • Kumteka na kumtesa Ulimboka kuimarishe mgomo
      • Majambazi waheshimiwa wenye pesa Uswisi changamken...
      • Huu ni ulimbukeni, ushamba au usafi?
      • Chemsha Bongo: Je hii picha ni ya nini?
      • Hatimaye Misri yapata rais mpya wa kidemokrasia
      • Aliishi bila pesa kwa miaka 16
      • Je Yesu alikuwa mwana haramu?
      • Tahrir kwalipuka tena kupinga uimla
      • Vifo vya watu 17 vyamfurusha Lugo urais
      • Hatimaye 'waraarabu' wa Sudan wawaiga wenzao
      • Hili daraja linatisha sana
      • Kuna watu wanamilki visiwa!
      • On Bashir, Let Me Think Like Joyce Banda
      • Bajeti isaidie kuing’oa CCM
      • Kumbe Bajeti yenyewe ya walevi!
      • Afukuzwa kazi kwa kunyonyesha hadharani
      • Israel yaonyesha walivyo wabaguzi hasa kwa weusi
      • Je watoto wetu wanavutishwa bangi kinamna?
      • Kama duniani hivi motoni vipi?
      • Je wajua kuwa King Leopold ni wa kwanza kufanya ma...
      • Faida ya kiuchumi na teknolojia ya ugaidi
      • Aacha kwenda chuo badala yake achagua shamba!
      • 'Bila ufisadi ,siku moja Dar ingekuwa hivi'
      • Ukikutana na hawa jamaa utafanya nini?
      • UFISADI:Tanzania ijifunze toka Sudan Kusini
      • Corruption: Africa Needs More Sattas
      • Kikwete na aibu za kujitakia
      • Badwill ni mfano wa ‘Wezimiwa’ wetu
      • Nyangumi mdogo akutwa amekufa ufukweni BC
      • Iceland bado wamo pamoja na mtikisiko wa uchumi
      • Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
      • Kumbe Cameron ni mzazi wa hovyo!
      • Huyu binti nampenda sana
      • These pictures are real good
      • Dada'ke Woods amfuata kwenye tennis
      • Pumzika mahali pema peponi Saitoti
      • Msiba wa Makani ni wa taifa si wa CHADEMA
      • Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka...
      • Matangazo mengine, um!
      • Kikwete na aibu za kujitakia
      • Nimeikumbuka Machu Pichu
      • Pata shahada ya Uzamili kwenye kulima bangi
      • Je AU itakubaliana na ombi la Sudan?
      • Hivi hii ndege ilifikaje hapo in one piece?
      • Kurithisha urais kwa wake kwaanza kuwa fasheni Afrika
      • Harambee au rushwa kwa jamii toka kwa mafisadi?
      • Rais Padri akumbwa na kashfa ya kumi ya kuzaa
      • Hii picha nimeipenda
      • Wamarekani kwa vituko, mama akamatwa kwa kushangilia
      • Mtunza pesa wa papa anapokwapua
      • Kenya: MRC Must be Slowed Down
      • Kukamatwa mtoto wa rais, somo kwa wengine
      • Uamsho wamewasha moto mchafu
      • Barrick, Mkapa na matunda ya uhujumu na udhalimu
      • Hutokea mara moja kwa katika karne
      • Waweza kuamini kuwa hiyo si ndege bali nyumba?
      • Nani kasema waafrika si wavumbuzi?
      • Mutunga apania kubadili mahakama Kenya
      • Rais anapowaandikia barua wezi wa pesa ya umma!
      • Maisha bora kwa wote wagonjwa wabebwa kwa Trekta!
      • Breaking news ndege yaangukia jengo Lagos
      • JK fit ila bi Mkubwa, um!
      • Uamsho na Kikwete jino kwa jino
      • Ndege yagonga basi na kuua
      • Masupa staa wa kiswahili, matanuzi na kufilisika
      • Mbunge anapomtoa rushwa afisa wa serikali
      • Kutorosha wanyama wetu hakutoshi bado tunahitaji z...
      • Yamekuwa haya, nani anacheza mchezo huu mchafu?
      • Unaiweza hii?
      • Rais anapoangusha kilio kama kichanga!
      • Rais anafaidikaje na jinai hii?
      • Waweza kumruhusu mwanao afanye hivi?
      • Breaking News mtoto wa rais wa zamani Zambia akamatwa
    • ►  May (119)
    • ►  April (83)
    • ►  March (23)
    • ►  February (17)
    • ►  January (18)
  • ►  2011 (261)
    • ►  December (20)
    • ►  November (19)
    • ►  October (20)
    • ►  September (21)
    • ►  August (27)
    • ►  July (12)
    • ►  June (15)
    • ►  May (20)
    • ►  April (27)
    • ►  March (32)
    • ►  February (24)
    • ►  January (24)
  • ►  2010 (205)
    • ►  December (25)
    • ►  November (23)
    • ►  October (23)
    • ►  September (23)
    • ►  August (17)
    • ►  July (13)
    • ►  June (12)
    • ►  May (10)
    • ►  April (18)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (16)
  • ►  2009 (163)
    • ►  December (19)
    • ►  November (14)
    • ►  October (11)
    • ►  September (6)
    • ►  August (12)
    • ►  July (9)
    • ►  June (11)
    • ►  May (20)
    • ►  April (22)
    • ►  March (14)
    • ►  February (12)
    • ►  January (13)
  • ►  2008 (191)
    • ►  December (12)
    • ►  November (11)
    • ►  October (14)
    • ►  September (15)
    • ►  August (16)
    • ►  July (23)
    • ►  June (10)
    • ►  May (19)
    • ►  April (16)
    • ►  March (19)
    • ►  February (17)
    • ►  January (19)
  • ►  2007 (33)
    • ►  December (13)
    • ►  November (20)

About Me

My photo
View my complete profile

Travel theme. Powered by Blogger.