Monday, 11 June 2012

Kumbe Cameron ni mzazi wa hovyo!


  • Habari kuwa waziri mkuu wa Uingereza David Cameron na mkewe Samantha walimsahau binti yao Nancy (8) baa ni kashfa ya mwaka hasa kwa nchi zinazotetea haki za watoto. Ingawa Cameron na mkewe walijitetea kuwa kila mmoja alidhani binti yao alikuwa kwenye gari la mwenzake, wazazi wengi wameshangaa uzembe huu tena kwa kiongozi wa taifa linalojifanya kujua haki za watu kuliko watu wenyewe. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

1 comment:

Anonymous said...

Huyo ni Shoga unatarajia nini