Friday, 22 June 2012

Tahrir kwalipuka tena kupinga uimla


Mamia ya maelfu ya wamisri wamerejea tena kwenye uwanja wa Tahrir kudai jeshi lirejeshe madaraka mikononi mwa raia baada ya jeshi kuwa likiwapiga mpira kwa kutorejesha utawala wa kidemokrasia. Habari zilizolipotiwa na vyombo mbali mbali vya habari ni kwamba umma umechoka kuzungushwa na watawala wa kijeshi ambao hawataki kuachia madaraka.Kibonzo cha Gado kinaweza kuelezea vizuri. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: