Saturday, 2 June 2012

Mbunge anapomtoa rushwa afisa wa serikali

Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwell pichani, amekamatwa kwa tuhuma za rushwa jijini Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa afisa Upelelezi wa  Tume ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKURURU), Alex Mfungo Badwell alikamatwa katika Hoteli ya Peacock baada ya kupokea rushwa ya shilingi milioni moja toka kwa afisa wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Sasa kama wabunge wetu ni wa hovyo kiasi hiki, hao maofisa wa serikali wasiomwakilisha mtu ni vipi? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: